Acts 5:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Tazameni watu mliowafunga gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja akaja akawapasha habari ya kwamba, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mtu mwingine akaja na kuwaambia, “Sikilizeni! Watu mliowafunga gerezani wamesimama katika eneo la Hekalu wanawafundisha watu!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo Hekaluni, wanawafundisha watu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Tazameni watu wale mliowatia gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Tazameni watu mliowatia gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja akaja akawapasha habari ya kwamba, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akafika mtu mmoja, akawaambia, “Wale watu mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo hekaluni, wanawafundisha watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pakaja mtu, akawasimulia: Tazameni, watu hao, mliowatia kifungoni, wamo nyumbani mwa Patakatifu, wamesimama na kufundisha watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja akaja akawapasha habari ya kwamba, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mutu mumoja akakuja, na kuwaambia: “Wale watu muliowatia ndani ya kifungo wako katika hekalu wakiwafundisha watu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu mmoja akaja akawapasha khabari ya kama, Watu wale mliowaweka gerezani wako ndani ya hekalu, wamesimama wakiwafundisha watu.