Acts 5:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliwaleta mitume, wakawasimamisha mbele ya Baraza la Wayahudi ili kuhani mkuu awahoji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipowaleta, wakawaweka katika baraza. Kuhani Mkuu akawauliza,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari waliwaleta mitume na kuwasimamisha mbele ya baraza. Kuhani mkuu akawauliza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani Mkuu akawaambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakiisha kuwaleta hao mitume wakawaamuru kusimama mbele ya baraza. Kuhani Mkuu akawahoji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakiisha kuwaleta mitume wakawaamuru kusimama mbele ya baraza ili kuhani mkuu awahoji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipowaleta, wakawaweka katika baraza. Kuhani Mkuu akawauliza,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakawapeleka, wakawasimamisha mbele ya Baraza. Kuhani mkuu akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipowaleta, wakawasimamisha mbele yao wakuu. Mtambikaji mkuu akawauliza:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipowaleta, wakawaweka katika baraza. Kuhani Mkuu akawauliza,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kuwaleta, wakawasimamisha mbele ya Baraza Kubwa. Naye Kuhani Mukubwa akaanza kuwasambisha,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawaleta, wakaweka katika baraza. Kuhani mkuu akawauliza, akisema,