Acts 5:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu wa baba zetu alimfufua Isa kutoka kwa wafu, ambaye ninyi mlimuua kwa kumtundika kwenye msalaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mlimwua Yesu kwa kumpigilia msalabani. Lakini Mungu, Mungu yule yule wa Baba zetu, alimfufua Yesu kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika msalabani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu kutoka kwa wafu, ambaye ninyi mlimwua kwa kumtundika kwenye msalaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu wa baba zetu alimfufua Isa kutoka kwa wafu, ambaye ninyi mlimuua kwa kumtundika kwenye msalaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu wa babu zetu alimfufua Yesu baada ya nyinyi kumuua kwa kumtundika msalabani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wa baba zetu amemfufua Yesu, mliyemwua ninyi na kumtundika mtini;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu wa babu zetu alimufufua Yesu, yule ninyi muliyemwua kwa kumutundika juu ya musalaba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambae ninyi mlimwua mkamtundika katika mti.