Acts 5:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wajumbe wa Baraza la Wazee waliposikia haya, walijawa na ghadhabu, wakataka kuwaua mitume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wajumbe wa Baraza waliposikia haya, walikasirika sana. Walianza kupanga namna ya kuwaua mitume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wajumbe wa baraza la wazee waliposikia haya, walijawa na ghadhabu, wakataka kuwaua wale mitume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wajumbe wa baraza la wazee waliposikia haya, walijawa na ghadhabu, wakataka kuwaua mitume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakapanga kuwaua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia haya wakakereza meno, wakataka kuwaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wajumbe wa lile Baraza Kubwa waliposikia maneno hayo, wakakasirika sana na kutaka kuwaua mitume.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waliposikia wakachomwa mioyo yao; wakafanya shauri kuwaua.