Acts 5:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo alipowaambia wazee wa Baraza, “Enyi wanaume wa Israeli, fikirini kwa uangalifu mnayotaka kuwatendea watu hawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawaambia, Enyi waume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akawaambia, “Wanaume wa Israeli, iweni waangalifu kwa kile mnachopanga kuwatendea watu hawa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo alipowaambia wajumbe wa baraza, “Enyi watu wa Israeli, fikirini kwa uangalifu yale mnayotaka kuwatendea watu hawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo alipowaambia wajumbe wa baraza, “Enyi watu wa Israeli, fikirini kwa uangalifu mnayotaka kuwatendea watu hawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawaambia, Enyi wanaume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawaambia wale wajumbe wa Baraza, “Wananchi wa Israeli, tahadhari kabla ya kutekeleza hicho mnachotaka kuwatenda watu hawa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawaambia: Waume Waisiraeli, jilindeni kwa ajili ya hayo, mtakayowatendea watu hawa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawaambia, Enyi waume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaambia watu wa baraza: “Ninyi wanainchi wenzangu Waisraeli, muangalie vizuri jambo hili munalotaka kuwatendea watu hawa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaamuru mitume wawekwe nje kitambo, akawaambia, Enyi waume wa Israeli, jihadharini jinsi mtakavyowatenda watu hawa.