Acts 5:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muda wa saa tatu baadaye, mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kama saa tatu baadaye, mkewe naye alifika. Safira hakujua kilichompata mumewe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zilipopita kama saa tatu, mkewe akaingia, asiyajue yaliyofanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulipopita karibu saa tatu, muke wake akafika pasipo kujua mambo yaliyotokea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta muda wa saa tatu baadae mkewe akaingia, nae hana khabari ya hayo yaliyotokea.