Acts 5:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akamjibu, Niambie, Mlikiuza kiwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndiyo, kwa thamani hiyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro akamwambia, “Niambie mlipata pesa kiasi gani baada ya kuuza shamba lenu. Kilikuwa kiasi hiki?” Safira akajibu, “Ndiyo, hicho ndicho tulichopata baada ya kuuza shamba.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro akamwuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akamjibu, Niambie, Mlikiuza kiwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndiyo, kwa thamani hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akamwambia, “Niambie! Je, kiasi hiki cha fedha ndicho mlichopata kwa kuuza lile shamba?” Yeye akamjibu, “Naam, ni kiasi hicho.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akamwuliza: Niambie: Fedha, mlizozipata kwa kukiuza kiunga, ndizo hizi? Naye aliposema: Ndio, ni zizi hizi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akamjibu, Niambie, Mlikiuza kiwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndiyo, kwa thamani hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro akamwuliza: “Uniambie, hii ndiyo jumla ya feza mulizopata mulipouzisha shamba lenu?” Akamujibu: “Ndiyo, ni hii.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akamjibu, Niambie, Mliuuza uwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndio, kwa thamani hiyo.