Acts 6:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyemwongoza wakati aliposema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawakuweza kushindana na ile hekima aliyopewa na Roho wa Mungu alipokuwa akisema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Roho Mtakatifu alimwezesha kuzungumza kwa hekima. Maneno yake yalikuwa na nguvu hata Wayahudi hawa hawakuweza kubishana naye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyeongoza maneno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyemwongoza wakati aliposema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyemwongoza wakati aliposema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakuweza kuyabisha, aliyoyasema kwa werevu uliokuwa wa kweli na kwa Roho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini hawakuweza kumushinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu ya Roho Mutakatifu aliyemwongoza kusema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala na Roho aliyosema nayo.