Acts 6:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na waalimu wa sheria. Basi, wakamjia Stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya Baraza Kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawachochea watu, wazee na walimu wa Torati, nao wakamkamata Stefano wakamfikisha mbele ya Baraza la Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi, wakamwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Jambo hili liliwakasirisha sana watu, wazee wa Kiyahudi na walimu wa sheria. Wakamkamata Stefano na kumpeleka mbele ya Baraza Kuu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na walimu wa Sheria. Basi, wakamjia Stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya Baraza kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na waalimu wa sheria. Basi, wakamjia Stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya Baraza Kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawachochea watu, wazee na walimu wa Torati, nao wakamkamata Stefano wakamfikisha mbele ya baraza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawachochea watu, wazee na walimu wa Torati, nao wakamkamata Stefano wakamfikisha mbele ya baraza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi, wakamwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa namna hiyo, waliwachochea watu, wazee na waalimu wa sheria. Basi, wakamjia Stefano, wakamkamata na kumleta mbele ya Baraza Kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawachafua watu na wazee na waandishi, wakamjia, wakamkamata, wakampeleka barazani kwa wakuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi, wakamwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakawachochea watu, wazee, na walimu wa Sheria. Nao wakamufikia Stefano, wakamukamata na kumupeleka mbele ya Baraza Kubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakawataharakisha watu na wazee na waandishi: wakaniwendea, wakamkamata, wakampeleka mbele ya baraza.