Acts 7:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote; kwa jumla walikuwa watu sabini na watano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yusufu aliwatuma kaka zake wamwambie Yakobo, baba yake, ahamie Misri. Aliwaalika pia ndugu zake wote, jumla yao wote walikuwa watu sabini na tano.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na tano, waje Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yosefu akatuma wamlete Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yusufu akawatuma kumleta Yakobo baba yake pamoja na jamaa yake yote, jumla yao walikuwa watu sabini na watano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na watano, waje Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosefu akatuma watu, akamwita baba yake Yakobo na ndugu zake wote, wakawa kama 75.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akatuma watu akamwita Yakobo babaye na jamaa zake wote pia, watu sabini na watano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yosefu akatuma wajumbe kwenda kumwita baba yake Yakobo pamoja na jamaa yake yote wafike Misri. Nao wote kwa jumla walikuwa makumi saba na tano.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yusuf akatuma watu akamwita Yakobo baba yake na jamaa zake wote pia, watu sabaini na watano.