Acts 7:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yakobo akashuka mpaka Misri; akafa yeye na baba zetu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Yakobo alitelemka kwenda Misri. Yeye na baba zetu waliishi huko mpaka walipokufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yakobo akaenda Misri ambako yeye na baba zetu walifia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yakobo akashuka mpaka Misri; akafa yeye na baba zetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Yakobo alikwenda Misri ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yakobo alipotelemka kwenda Misri. Huko akafa yeye mwenyewe nao baba zetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yakobo akashuka mpaka Misri; akafa yeye na baba zetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yakobo akashuka kwenda Misri, naye akakaa kule pamoja na babu zetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yakobo akashuka hatta Misri, akafariki yeye na baba zetu;