Acts 7:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ‘mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri’.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata mfalme mwingine akainuka juu ya Misri, asiyemfahamu Yusufu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo mfalme mwingine akaanza kutawala Misri, ambaye hakujua lolote kuhusu Yusufu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mfalme mwingine ambaye hakujua lo lote kuhusu Yosefu, akatawala Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mfalme mwingine ambaye hakujua lolote kuhusu Yusufu akatawala Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata mfalme mwingine asiyemfahamu Yusufu akaanza kutawala katika Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza kutawala huko Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka alipoondokea mfalme mwingine wa Misri asiyemjua Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata mfalme mwingine akainuka juu ya Misri, asiyemfahamu Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kukakuwa mufalme mwingine wa inchi ya Misri, asiyemujua Yosefu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mpaka mfalme mwingine akaondoka, asiyemfahamu Yusuf.