Acts 7:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati huo Musa alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani mwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo akazaliwa Musa, naye alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya babaye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huu ni wakati ambapo Musa alizaliwa. Alikuwa mtoto mzuri sana, na kwa miezi mitatu wazazi wake walimtunza nyumbani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati huo Mose alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani kwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati huo Musa alizaliwa, naye hakuwa mtoto wa kawaida. Akalelewa nyumbani kwa baba yake kwa muda wa miezi mitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo akazaliwa Musa, naye alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alizaliwa wakati huo. Alikuwa mtoto mzuri sana. Alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile Mose akazaliwa, Mungu akapendezwa naye. Kwa hiyo akalelewa miezi mitatu nyumbani mwa baba yake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo akazaliwa Musa, naye alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika siku zile Musa akazaliwa, naye alikuwa mutoto muzuri sana. Alilelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya baba yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakati huo akazaliwa Musa, nae alikuwa mzuri sana, akalelewa muda wa miezi mitatu katika nyumba ya baba yake.