Acts 7:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipomweka nje mtoni, binti Farao akamchukua akamlea kama mtoto wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walipolazimishwa kumtoa nje, Binti wa Farao alimchukua. Alimkuza kama mwanaye wa kumzaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliposhindwa kumficha zaidi, wakamweka nje mtoni na binti Farao akamchukua akamtunza kama mtoto wake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha alipotupwa, binti Farao akamwokota, akamlea, awe mwanawe yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipowekwa inje, binti ya Mufalme wa Misri akamutwaa na kumulea kama mutoto wake mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta alipotupwa, binti Farao akamtwaa, akamlea awe kama mwana wake.