Acts 7:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Musa alielimishwa kwa elimu bora ya Kimisri. Wamisri walimfundisha kila kitu walichojua. Alikuwa mwenye nguvu katika yote aliyosema na kutenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose akafundishwa ujuzi wote wa Wamisri, akawa mwenye nguvu kwa maneno na kwa matendo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akafundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri, akakuwa mwenye uwezo sana katika masemi yake na matendo yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Musa akafundishwa hekima yote ya Misri, akawa hodari wa maneno na matendo.