Acts 7:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Musa alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umri wake ulipopata kama miaka arobaini akaazimu moyoni mwake kwenda kuwatazama ndugu zake Waisraeli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Musa alipokuwa na umri wa miaka kama arobaini, aliamua kuwatembelea watu wake mwenyewe, watu wa Israeli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mose alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Musa alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umri wake ulipokuwa kama miaka arobaini akaazimu moyoni mwake kwenda kuwatazama ndugu zake Waisraeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Alipokuwa na umri wa miaka arubaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena miaka yake ilipopata 40, moyo wake ukamtuma kuwakagua ndugu zake, wale wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umri wake ulipopata kama miaka arobaini akaazimu moyoni mwake kwenda kuwatazama ndugu zake Waisraeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wakati Musa alipokuwa na umri wa miaka makumi ine, akakusudia kwenda kuwatembelea wandugu zake Waisraeli.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Umri wake ulipopata kama miaka arubaini akaazimu moyoni kwenda kuwatazama ndugu zake wana wa Israeli.