Acts 7:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alidhani kwamba Waisraeli wenzake wangeelewa kwamba Mungu angemtumia yeye kuwakomboa, lakini hawakuelewa hivyo).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alidhani kuwa ndugu zake wangetambua kwamba Mungu anamtumia ili kuwaokoa, lakini wao hawakuelewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Musa alidhani kwamba watu wake wangeelewa kuwa Mungu alikuwa anamtumia kuwaokoa. Lakini hawakuelewa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Alidhani kwamba Waisraeli wenzake wangeelewa kwamba Mungu angemtumia yeye kuwakomboa, lakini hawakuelewa hivyo.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alidhani kwamba Waisraeli wenzake wangeelewa kwamba Mungu angemtumia yeye kuwakomboa, lakini hawakuelewa hivyo).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alidhani kuwa ndugu zake wangetambua kwamba Mungu anamtumia ili kuwaokoa, lakini wao hawakuelewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alidhani kuwa ndugu zake wangetambua kwamba Mungu anamtumia ili kuwaokoa, lakini wao hawakuelewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alidhani kwamba Waisraeli wenzake wangeelewa kwamba Mungu angemtumia yeye kuwakomboa, lakini hawakuelewa hivyo).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akadhani, ndugu zake watajua, ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake yeye; lakini hawakujua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokovu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alizani kwamba wandugu zake wataelewa kwamba Mungu atawaokoa kwa njia yake, lakini hawakuelewa vile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alidhani kwamba ndugu zake watafahamu ya kuwa Mungu anawapa wokofu kwa mkono wake, lakini hawakufahamu.