Acts 7:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wataka kuniua mimi kama ulivyomwua yule Mmisri jana?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unataka kuniua kama ulivyomwua yule Mmisri jana?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, unataka kuniua kama ulivyomwua yule Mmisri jana?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wataka kuniua mimi kama ulivyomwua yule Mmisri jana?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri jana?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wewe unataka kuniua nami, kama ulivyomwua jana yule Mmisri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wataka kuniua mimi kama ulivyomwua yule Mmisri jana?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unataka kuniua sawa vile ulivyomwua yule Mumisri jana?’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! wataka kuniua mimi kama ulivyomwua yule Mmisri jana?