Acts 7:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana alimtokea Mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Musa jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata miaka arobaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika mwali wa moto, kijitini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Miaka arobaini baadaye, Musa alipokuwa jangwani karibu na Mlima Sinai, malaika alimtokea katika mwali wa moto uliokuwa unawaka katika kichaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Miaka arobaini ilipotimia, malaika wa Bwana alimtokea Mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana alimtokea Mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Mose jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi baada ya miaka arobaini kupita, malaika wa Mungu akamtokea Musa jangwani karibu na Mlima Sinai katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata miaka arobaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika muali wa moto, kichakani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana alimtokea Mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilipokwisha pita tena miaka 40, malaika akamtokea porini mlimani kwa Sinai katika kichaka kilichowaka moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata miaka arobaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima wa Sinai katika mwali wa moto, kijitini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kulipopita miaka makumi ine, malaika wa Bwana akamutokea Musa katikati ya kichaka kilichokuwa kikiwaka moto katika jangwa karibu na mulima Sinai.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta miaka arubaini ilipotimia, malaika wa Bwana akamtokea katika jangwa la mlima Sinai katika mwali wa moto, kijitini.