Acts 7:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia, Vua viatu miguuni mwako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni nchi takatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Bwana akamwambia, ‘Vua viatu vyako, kwa sababu mahali uliposimama ni ardhi takatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana akamwambia: Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo Bwana akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana hapo unaposimama ni mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo Bwana Mwenyezi Mungu akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana akamwambia, Vua viatu miguuni mwako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni nchi takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako maana hapa unaposimama ni mahali patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana akamwambia: Vivue viatu miguuni pako! Kwani hapa, unaposimama, ni nchi takatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana akamwambia, Vua viatu miguuni mwako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni nchi takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Bwana akamwambia: ‘Vua viatu vyako, kwa sababu hapa unaposimama ni pahali patakatifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Musa akatetemeka, asithubutu kutazama. Bwana akamwambia, Vua viatu vyako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni inchi takatifu.