Acts 7:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimwambia Aroni: ‘Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata huyo Mose aliyetuongoza kutoka Misri!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia Haruni, ‘Tufanyie miungu itakayotuongoza, kwa maana mtu huyu Musa aliyetutoa nchi ya Misri, hatujui yaliyompata.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia Haruni, Tufanyie miungu, watakaotutangulia; maana huyo Musa, aliyetutoa katika nchi ya Misri, hatujui lililompata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walimwambia Haruni, ‘Musa alituongoza kutoka katika nchi ya Misri. Lakini hatujui kilichompata. Hivyo tengeneza miungu ili iwe mbele yetu ituongoze.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walimwambia Aroni: Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata Mose huyu aliyetuongoza kutoka Misri!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimwambia Aroni: ‘Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata huyo Mose aliyetuongoza kutoka Misri!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia Aroni, ‘Tufanyie miungu watakaotuongoza, kwa maana mtu huyu Mose aliyetutoa Misri hatujui yaliyompata.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia Haruni, ‘Tufanyie miungu watakaotuongoza, kwa maana mtu huyu Musa aliyetutoa nchi ya Misri, hatujui yaliyompata.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia Haruni, Tutengenezee miungu, watakaotutangulia; maana huyo Musa, aliyetutoa katika nchi ya Misri, hatujui lililompata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimwambia Aroni: ‘Tutengenezee miungu itakayotuongoza njiani, maana hatujui yaliyompata huyo Mose aliyetuongoza kutoka Misri!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia Haroni: Tufanyie miungu itakayotuongoza! Kwani huyo Mose aliyetutoa katika nchi ya Misri hatuyajui yaliyompata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia Haruni, Tufanyie miungu, watakaotutangulia; maana huyo Musa, aliyetutoa katika nchi ya Misri, hatujui lililompata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwambia Haruni: ‘Ututengenezee sanamu itakayotuongoza, kwa maana hatujui jambo gani lililomupata yule Musa aliyetuondoa Misri.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakamwambia Haruni, Tufanyie miungu, watakaotutangulia: maana huyo Musa, aliyetutoa katika inchi ya Misri, hatujui lililompata.