Acts 7:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Mwenyezi Mungu. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na nchi ni pa kuwekea miguu yangu; Ni nyumba gani mtakayonijengea? Asema Bwana,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
‘Bwana asema, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni sehemu ya kuweka miguu yangu. Hivyo mnadhani mnaweza kunijengea nyumba? Je, ninahitaji mahali pa kupumzika?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Bwana. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mbingu ni kiti changu cha enzi, nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani? asema Bwana Mwenyezi. Au mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na nchi ni pa kuwekea miguu yangu; Ni nyumba gani mtakayonijengea? Asema Bwana,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu ni kiti changu cha kifalme, nayo nchi ni pa kuiwekea miguu yangu. kwa hiyo Bwana anasema: Ni nyumba gani, mtakayonijengea? Au mahali pa kupumzikia mimi ni mahali gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na nchi ni pa kuwekea miguu yangu; Ni nyumba gani mtakayonijengea? Asema Bwana,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Mbingu ni kiti changu cha kifalme, nayo dunia ni kiti changu cha kupumzishia miguu. Basi ni nyumba gani munayoweza kunijengea? Au ni nafasi gani munaweza kuniwekea makao?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mbingu ni kiti changu cha enzi, Na inchi ni mahali pa kutia miguu yangu: Ni nyumba gani mtakayonijengea? asema Bwana: Au ni mahali gani nitakapostarebe?