Acts 7:54 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazee wa Baraza la Wayahudi waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliokuwa kwenye mkutano wa baraza waliposikia maneno haya, walikasirika sana na wakamsagia meno Stefano kwa hasira.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliposikia haya wakaghadhabika, wakamsagia Stefano meno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoyasikia haya wakachomwa mioyoni mwao, wakamkerezea meno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wajumbe wa Baraza Kubwa waliposikia maneno hayo, wakakasirika sana na kumusagia Stefano meno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.