Acts 7:58 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakamtoa nje ya mji na kuanza kumpiga kwa mawe. Mashahidi walioshuhudia uongo kinyume cha Stefano waliacha makoti yao kwa kijana aliyeitwa Sauli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka mavazi yao miguuni mwa kijana mmoja ambaye jina lake aliitwa Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake Saulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamkumba, atoke mjini, wakampiga mawe. Kulikuwako mashahidi, nao wakazivua nguo zao, wakaziweka miguuni pa kijana, jina lake Sauli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamukokota na kumupeleka mbali na muji na kuanza kumutupia mawe kusudi wamwue. Wale washuhuda wakavua nguo zao na kuziwekesha kijana mumoja Saulo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyekwitwa Saul.