Acts 7:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa sababu hao baba zetu wa zamani walimwonea wivu Yusufu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wazee wetu wakimwonea wivu Yusufu, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja naye,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baba zetu hawa walimwonea wivu Yusufu ndugu yao na wakamwuza ili awe mtumwa Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamuuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa sababu wazee wetu wakuu walimwonea wivu Yosefu ndugu yao, walimwuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa sababu wazee wetu walimwonea wivu Yusufu ndugu yao, walimuuza kama mtumwa huko Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wazee wetu wakimwonea wivu Yusufu, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja naye,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wale mababu walimwonea wivu Yosefu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale babu zetu wakuu wakamwonea Yosefu wivu, wakamwuza kwenda Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wazee wetu wakimwonea wivu Yusufu, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja naye,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wale babu wakamwonea Yosefu wivu hata wakamwuzisha kuwa mutumwa katika inchi ya Misri. Lakini Mungu akamulinda,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wazee wetu wakamwonea wivu Yusuf, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja nae,