Acts 8:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamfuata kwa sababu kwa muda mrefu alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamsikiliza, kwa maana amewashangaza muda mwingi kwa uchawi wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Simoni aliwashangaza watu kwa muda mrefu kwa uchawi wake na watu wote wakawa wafuasi wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamfuata kwa sababu kwa muda mrefu alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamfuata kwa sababu kwa muda mrefu alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamsikiliza, kwa maana amewashangaza muda mwingi kwa uchawi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walishikamana naye, kwa sababu aliwahangaisha siku nyingi kwa uganga wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamsikiliza, kwa maana amewashangaza muda mwingi kwa uchawi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika walimusikiliza vizuri kwa sababu aliwashangaza kwa muda wa siku nyingi kwa njia ya uchawi wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwangalia, kwa maana muda mwingi amewashangaza kwa uchawi wake.