Acts 8:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nakuona u katika uchungu kama nyongo, na tena u katika kifungo cha uovu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa ninaona umejaa wivu mwingi nawe ni mfungwa wa uovu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na mfungwa wa dhambi!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ninaona kwamba wewe umejawa na uchungu na ni mfungwa wa dhambi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana nakuona uko katika uchungu kama nyongo, na tena uko katika kifungo cha uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na u mfungwa wa dhambi!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nakuona, unayo yaliyo machungu kama nyongo, tena u mtumwa wa upotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nakuona u katika uchungu kama nyongo, na tena u katika kifungo cha uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ninaona kwamba umejaa uchungu sana nawe umefungwa na zambi.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana nakuona una nchungu kama nyongo, na tena u katika kifungo cha uovu.