Acts 8:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi kwenye gari lake la vita akisoma kitabu cha nabii Isaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na alikuwa anarudi Ethiopia. Alikuwa ameketi katika gari lake la kukokotwa na farasi akiwa anasoma kitabu cha nabii Isaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawa akirudi nyumbani, akiwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii Isaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini alipokuwa anarudi na kukaa garini mwake alikisoma kitabu cha mfumbuaji Yesaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na sasa alikuwa katika safari ya kurudi kwake. Alikuwa akiikaa ndani ya gari lake akisoma katika kitabu cha nabii Isaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae amekwenda Yerusalemi kuabudu, akawa akirejea, ameketi garini mwake akisoma chuo cha nabii Isaya.