Acts 8:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Hapo Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo unayosoma?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Filipo akakimbilia lile gari na kumsikia yule mtu anasoma kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamuuliza, “Je, unaelewa hayo unayoyasoma?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Filipo akaenda karibu na gari, akamsikia mtu yule akisoma kutoka katika kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamwuliza, “Unaelewa unachosoma?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Hapo Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo unayosoma?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Hapo Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo unayosoma?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Filipo akakimbilia lile gari na kumsikia yule mtu anasoma kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo usomayo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Filipo akakimbilia lile gari na kumsikia yule mtu anasoma kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamuuliza, “Je, unaelewa hayo usomayo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma kitabu cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Hapo Filipo akamwuliza, “Je, unaelewa hayo unayosoma?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Filipo akamwendea mbio, akamsikia, alivyokisoma kitabu cha mfumbuaji Yesaya; alipomwuliza: Unayatambua, unayoyasoma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Filipo akaenda mbio karibu na gari, naye akamusikia yule mukubwa akisoma katika kitabu cha nabii Isaya. Filipo akamwuliza: “Unaelewa maneno unayoyasoma?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya: akanena, Je, yamekuelea haya unayosoma?