Acts 8:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza Injili ya Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiri habari njema za Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Filipo akaanza kuzungumza. Alianzia na Andiko hili na kumwambia mtu yule Habari Njema kuhusu Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la maandiko akamweleza habari njema za Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza habari njema za Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiria Habari Njema za Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Filipo akianzia na sehemu hiyo ya Maandiko Matakatifu, akamweleza Habari Njema juu ya Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Filipo alipokifumbua kinywa chake, akaanza kwa Maandiko yale yale akimpigia mbiu ya Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiri habari njema za Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Filipo akaanza na sehemu ile ile ya maandiko, akamwelezea Habari Njema juu ya Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Filipo akafunua kinywa chake na akilianzia andiko hili, akamkhubiri khabari njema za Yesu.