Acts 8:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Filipo na yule towashi wakateremka kwenye maji pamoja, naye Filipo akambatiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaamuru lile gari lisimame; wakatelemka wote wawili majini, Filipo na yule towashi; naye akambatiza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo Afisa akaamuru gari lake lisimame. Wote wawili, Filipo na Afisa, wakatelemka wakaingia kwenye maji na Filipo akambatiza towashi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo ofisa wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Wakatelemka kwenye maji wote wawili, yule towashi na Filipo, naye Filipo akambatiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Wakateremka kwenye maji wote wawili, yule towashi na Filipo, naye Filipo akambatiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaamuru lile gari lisimame; wakateremka wote wawili majini, Filipo na yule towashi; naye akambatiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, huyo ofisa akaamuru lile gari lisimame; na wote wawili, Filipo na huyo towashi wakashuka majini, naye Filipo akambatiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha akaagiza, gari lisimame, wakashuka wote wawili majini, Filipo na mtunza mali, akambatiza.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaamuru lile gari lisimame; wakatelemka wote wawili majini, Filipo na yule towashi; naye akambatiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akasimamisha gari. Filipo na yule mukubwa wakashuka wote wawili ndani ya maji na Filipo akamubatiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaamuru lile gari lisimame: wakatelemka wote wawili majini. Filipo na yule tawashi: akambatiza.