Acts 8:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipoenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilihubiri neno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walitawanyika kila mahali, na kila walikokwenda waliwahubiri watu Habari Njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wale waliotawanyika wakalihubiri neno la Mungu kila mahali walipokwenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huku na huko wakilihubiri neno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale waliotawanyika wakapita huko na huko wakiipiga mbiu njema ya lile Neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilihubiri neno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale waamini waliosambaa walikwenda popote wakitangaza Habari Njema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilikhubiri neno.