Acts 8:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Filipo aliingia katika mji wa Samaria na kumhubiri Kristo kwa wenyeji wa hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Filipo akaenda mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawahubiri Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Filipo alikwenda katika mji mkuu wa jimbo la Samaria na kuwahubiri watu kuhusu Masihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Filipo aliingia katika mji wa Samaria na kumhubiri Kristo kwa wenyeji wa hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Filipo aliingia katika mji wa Samaria na kumhubiri Kristo kwa wenyeji wa hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Filipo akatelemkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Filipo akateremkia mji mmoja wa Samaria akawahubiria habari za Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Filipo akateremka akaingia katika mji wa Samaria, akawahubiria Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Filipo aliingia katika mji wa Samaria na kumhubiri Kristo kwa wenyeji wa hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Filipo akashuka kuuingia mji wa Samaria, akawapigia mbiu ya Kristo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawahubiri Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Filipo akaenda katika muji mukubwa wa Samaria na kuwahubiri wakaaji wake juu ya Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawakhubiri Kristo.