Acts 9:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, “Anania!” Anania akaitika, “Niko hapa, Bwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Dameski kulikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Anania. Bwana Isa alimwita katika maono, “Anania!” Akajibu, “Mimi hapa Bwana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikuwepo mfuasi wa Yesu katika mji wa Dameski aliyeitwa Anania. Katika maono Bwana alimwita, “Anania!” Anania alijibu, “Niko hapa, Bwana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, “Anania!” Anania akaitika, “Niko hapa, Bwana.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, “Anania!” Anania akaitika, “Niko hapa, Bwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Dameski alikuwepo mwanafunzi mmoja jina lake Anania. Bwana alimwita katika maono, “Anania!” Akajibu, “Mimi hapa Bwana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Dameski alikuwepo mwanafunzi mmoja jina lake Anania. Bwana Isa alimwita katika maono, “Anania!” Akajibu, “Mimi hapa, Bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, “Anania!” Anania akaitika, “Niko hapa, Bwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlikuwa na mwanafunzi mle Damasko, jina lake Anania. Huyo Bwana akamwambia katika njozi: Anania! Aliposema: Tazama, nipo hapa Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi palikuwapo Dameski mwanafunzi jina lake Anania. Bwana akamwambia katika maono, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kule Damasiki kulikuwa mwanafunzi mumoja wa Yesu jina lake Anania. Bwana akamutokea katika maono, akamwita akisema: “Anania!” Naye akamwitikia, akisema: “Bwana, mimi niko hapa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi palikuwapo mwanafunzi Dameski, jina lake Anania. Bwana akamwambia katika njozi, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.