Acts 9:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa amekuja hapa Dameski. Viongozi wa makuhani wamempa mamlaka ya kuwakamata watu wote wanaokuamini wewe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena amepata ruhusa kwa watambikaji wakuu kuwafunga hapa wote pia wanaolitambikia Jina lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata hapa ana amri itokayo kwa wakuu wa makuhani awafunge wote wakuitiao Jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hata huku yuko na mamlaka aliyopewa na wakubwa wa makuhani kusudi afunge wote wanaoomba kwa jina lako.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hatta hapa ana mamlaka kwa makuhani wakuu awafunge wote wakuitiao Jina lako.