Acts 9:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ghafla, vitu kama magamba ya samaki vikaanguka kutoka kwenye macho ya Sauli. Akaanza kuona tena! Kisha akasimama na kwenda kubatizwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka macho ya Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghafula vitu kama magamba vikaanguka chini, kutoka machoni mwa Sauli, akapata kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka machoni mwa Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo pakawa kama magamba yaliyoanguka toka machoni pake, akaona, tena akainuka, akabatizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na pale pale vitu vilivyokuwa kama magamba vikaanguka toka ndani ya macho ya Saulo, naye akapata tena kuona. Halafu akasimama na kubatizwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra yakaanguka machoni pake kama magamba, akapata kuona akasimama, akabatizwa;