Acts 9:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kula chakula, akapata nguvu tena. Sauli akakaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akala chakula, na kupata nguvu. Akawa huko siku kadha wa kadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kula chakula, akaanza kujisikia kuwa na nguvu tena. Sauli alikaa pamoja na wafuasi wa Yesu katika mji wa Dameski kwa siku chache.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kula chakula, akapata nguvu tena. Sauli akakaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kula chakula, akapata nguvu tena. Sauli akakaa siku kadhaa pamoja na wanafunzi huko Dameski.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akala chakula, na kupata nguvu. Akawa huko siku kadhaa pamoja na wanafunzi walioko Dameski.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipokwisha kula chakula akapata nguvu tena. Akakaa siku kidogo, pamoja na wanafunzi waliokuwamo Damasko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akala chakula, na kupata nguvu. Akawa huko siku kadha wa kadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akakula chakula, na kupata nguvu tena. Saulo alikaa siku chache pamoja na wanafunzi waliokuwa Damasiki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akala chakula, akapata nguvu. Akawa huko siku kadhawakadha pamoja na wanafunzi walioko Dameski.