Acts 9:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Papo hapo akaanza kuhubiri kwenye masinagogi kwamba Isa Al-Masihi ni Mwana wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara akamhubiri Yesu katika masinagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadaye alianza kwenda katika masinagogi na kuwahubiri watu kuhusu Yesu. Aliwaambia watu, “Yesu ni Mwana wa Mungu!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Papo hapo akaanza kuhubiri kwenye masinagogi kwamba “Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Papo hapo akaanza kuhubiri kwenye masinagogi kwamba “Isa Al-Masihi ni Mwana wa Mungu. ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara akamhubiri Yesu katika masinagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hakukawia kuipiga mbiu ya Yesu katika nyumba za kuombea akisema: Huyo ndiye Mwana wa Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara akamhubiri Yesu katika masinagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na bila kukawia akaanza kuhubiri katika nyumba za kuabudia, akitangaza kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akamkhubiri Yesu katika masunagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.