Acts 9:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakapanga njama kumuua Sauli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya siku nyingi kupita, baadhi ya Wayahudi waliweka mpango wa kumwua Sauli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumwua Saulo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakafanya shauri kumwua Sauli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi wakafanya shauri kumuua Sauli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya mpango wa kumuua Saulo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipokwisha pita nyingi, Wayuda wakala njama ya kumwangamiza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kulipokwisha kupita siku nyingi, Wayuda wakafanya shauri la kumwua Saulo,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri illi wamwue: