Acts 9:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Sauli akagundua njama yao. Wayahudi wakawa wanalinda malango yote ya mji, usiku na mchana ili wapate kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hila yao ikajulikana na Sauli. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliyalinda malango ya mji usiku na mchana. Walitaka kumwua Sauli, lakini aliambiwa kuhusu mpango wao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini shauri lao likajulikana kwa Sauli. Wayahudi wakawa wanalinda malango yote ya mji, mchana na usiku ili wapate kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini shauri lao likajulikana kwa Sauli. Wayahudi wakawa wanalinda malango yote ya mji, usiku na mchana ili wapate kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hila yao ikajulikana na Sauli. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Saulo alipata habari ya mpango huo. Usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini Sauli alipata kuitambua njama yao. Walipomwotea malangoni pa mji mchana na usiku, wapate kumwangamiza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hila yao ikajulikana na Sauli. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini Saulo akavumbua shauri lile. Nao walichunga milango ya kuingilia ndani ya muji ule muchana na usiku kusudi wamwue,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini hila yao ikajulikana na Saul. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.