Acts 9:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Sauli akakaa nao akitembea kwa uhuru kila mahali huko Yerusalemu, akihubiri kwa ujasiri katika jina la Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawa pamoja nao katika Yerusalemu akiingia na kutoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sauli alikaa na wafuasi na kwenda kila mahali katika mji wa Yerusalemu akihubiri kwa ujasiri kwa ajili ya Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Sauli akakaa nao akishirikiana nao na akihubiri waziwazi kwa jina la Yesu kila mahali huko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Sauli akakaa nao akitembea kwa uhuru kila mahali huko Yerusalemu, akihubiri kwa ujasiri katika jina la Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawa pamoja nao katika Yerusalemu akiingia na kutoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Saulo alikaa pamoja nao, akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana bila hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akafuatana nao akiingia, tena akitoka nao Yerusalemu, akalitangaza Jina la Bwana waziwazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawa pamoja nao katika Yerusalemu akiingia na kutoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akakaa pamoja nao, akaenda huku na huko katika muji Yerusalema akihubiri kwa jina la Yesu pasipo woga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akawa pamoja nao katika Yerusalemi akiingia na kutoka.