Acts 9:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alinena na kuhojiana na Wayahudi wenye asili ya Kiyunani, lakini wao walijaribu kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akahubiri kwa jina la Bwana kwa ushujaa, akinena na kuhojiana na Wayahudi wa Kiyunani. Nao wakajaribu kumwua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mara alibishana na Wayahudi waliokuwa waliozungumza Kiyunani, ambao walianza kutengeneza mpango wa kumwua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wasemao Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alinena na kuhojiana na Wayahudi wenye asili ya Kiyunani lakini wao walijaribu kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alinena na kuhojiana na Wayahudi wenye asili ya Kiyunani lakini wao walijaribu kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akahubiri kwa jina la Bwana kwa ushujaa, akinena na kuhojiana na Wayahudi wa Kigiriki. Nao wakajaribu kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Wayuda waliotoka Ugriki akasema nao na kubishana nao. Ndipo, walipotafuta njia ya kumwangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akahubiri kwa jina la Bwana kwa ushujaa, akinena na kuhojiana na Wayahudi wa Kiyunani. Nao wakajaribu kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile alisemezana na kubishana na Wayuda waliosema kigriki, lakini wao walitafuta njia ya kumwua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaneua kwa jina lake Yesu pasipo khofu, akinena na kushindana na Wahelenisti. Nao wakajaribu kumwua.