Acts 9:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale ndugu walipopata habari wakampeleka hadi Kaisaria, wakamsafirisha kwenda Tarso.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ndugu walipopata habari wakamchukua mpaka Kaisaria, wakampeleka aende Tarso.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waamini walipoujua mpango huu, walimchukua Sauli mpaka Kaisaria, na kutoka huko walimsafirisha mpaka katika mji wa Tarso.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale ndugu walipogundua jambo hilo walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale ndugu walipopata habari wakampeleka hadi Kaisaria, wakamsafirisha kwenda Tarso.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale ndugu walipopata habari wakampeleka hadi Kaisaria, wakamsafirisha kwenda Tarso.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ndugu walipopata habari wakamchukua mpaka Kaisaria, wakamtuma aende Tarso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale ndugu walipogundua jambo hilo, walimchukua Saulo, wakampeleka Kaisarea, wakamwacha aende zake Tarso.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ndugu walipoyatambua wakamsindikiza mpaka Kesaria, wakamtuma kwenda zake Tarso.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ndugu walipopata habari wakamchukua mpaka Kaisaria, wakampeleka aende Tarso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu walipopata habari ile, wakamupeleka mbali katika muji Kaisaria, na kutoka kule wakamutuma aende katika muji Tarso.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini ndugu walipopata khabari wakamchukua hatta Kaisaria wakampeleka Tarso.