Acts 9:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alienda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Petro alipokuwa akizunguka-zunguka pande zote akawatelemkia na watakatifu waliokaa Lida.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Petro alikuwa akisafiri katika sehemu zote za Uyahudi, Galilaya na Samaria, na akasimama kuwatembelea waamini walioishi Lida.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawateremkia na watakatifu waliokaa Lida.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro alipokuwa anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa wanaishi Luda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Petero alipopita pote akashuka na kuwafikia hata watakatifu waliokaa Lida.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Petro alipokuwa akizunguka-zunguka pande zote akawatelemkia na watakatifu waliokaa Lida.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Petro alipokuwa akipita fasi zote katika majimbo yale, siku moja akawatembelea wanafunzi walioishi katika muji wa Luda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta Petro alipokuwa akizungukazunguka pande zote akawatelemkia watakatifu waliokaa Ludda.