Acts 9:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, aliyekuwa amepooza na kwa muda wa miaka nane alikuwa hajatoka kitandani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huko alikutana na mtu aliyeitwa Ainea, ambaye alikuwa amepooza na hakuweza kutoka kitandani kwa miaka nane.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Enea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo alikuwa amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea ambaye kwa muda wa miaka minane alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko akaona mtu, jina lake Enea, alikuwa amepooza na kulala kitandani miaka minane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule akamwona mutu mumoja mwenye ugonjwa wa kupooza aliyeitwa Ainea aliyeshindwa kutoka ndani ya kitanda kwa muda wa miaka minane.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea mtu huyo amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.