Acts 9:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wote wa Luda na Saroni walimwona Ainea, na wote wakamgeukia Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote waliokaa Lida na Sharoni wakamwona, wakamgeukia Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote walioishi Lida na tambarare ya Sharoni walimwona, na wakaamua kumfuata Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakazi wote wa Luda na Saroni walimwona Enea, na wote wakamgeukia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wote wa Luda na Saroni walimwona Ainea, na wote wakamgeukia Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote waliokaa Lida na Sharoni wakamwona, wakamgeukia Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wote wa Luda na Saroni walimwona Ainea, na wote wakamgeukia Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomwona wao wote waliokaa Lida na Saroni, wakageuka, wamfuate Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote waliokaa Lida na Sharoni wakamwona, wakamgeukia Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakaaji wote wa Luda na bonde la Saroni walipoona jambo hilo wakamugeukia Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akaondoka. Na watu wote waliokaa Ludda na Saron wakamwona, wakamgeukia Bwana.