Acts 9:42 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu kila mahali katika mji wa Yafa wakatambua kuhusu hili, na wengi wakamwamini Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Habari ya tukio hili ilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Habari hizi zikajulikana sehemu zote za Yafa na watu wengi wakamwamini Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari za tukio hili zilienea kila mahali huko Yopa, na watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikaja kutambulikana Yope mjini mote; kwa hiyo wengi wakamtegemea Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na habari hii ikaenea katika muji wote wa Yopa, kwa hiyo watu wengi wakamwamini Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikajulikana katika Yoppa, katika mji mzima, watu wengi wakamwamini Bwana.