Acts 9:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Isa unayemtesa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sauli akasema, “Wewe ni nani, Bwana?” Sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu, unayemtesa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Isa unayemtesa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayemtesa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Saulo akauliza, “Ni nani wewe Bwana?” Na ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipouliza: Ndiwe nani, Bwana? akajibu: Mimi ni Yesu, ambaye unanifukuza wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akauliza: “Wewe ni nani, Bwana?” Na Bwana akajibu: “Mimi ni Yesu unayemutesa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akasema, U nani Bwana? Akasema, Mimi ndimi Yesu unaeniudhi wewe.