Acts 9:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Simama sasa na uingie mjini. Mtu mmoja huko atakueleza unachopaswa kufanya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utashindwa na kupiga mateke penye machomeo. Lakini inuka, uingie mjini! Ndimo, utakamoambiwa yakupasayo, uyafanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini simama, uingie katika muji, na mule watakuambia jambo unalopaswa kufanya.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini simama, uingie mjini, utaambiwa yatakayokupasa kutenda.