Acts 9:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanaume waliokuwa wanasafiri pamoja na Sauli walisimama pale kimya. Waliisikia sauti, lakini hawakumwona yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wale waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, waliisikia sauti, lakini hawakuona mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wenziwe waliokuwa pamoja naye njiani walikuwa wamesimama, wasiweze kusema, kwa sababu waliusikia uvumi, wasione mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu waliosafiri pamoja na Saulo wakasimama na kubaki kimya kwa ajili ya mushangao, kwa maana walisikia sauti lakini hawakuona mutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na watu waliosafiri pamoja nae wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.